1932; Mwisho Wa Matatizo Yote…
Maisha ni sawa na kusukuma jiwe kwenda juu ya mlima. Ukisukuma linaenda, ukiacha kusukuma linarudi chini. Kama unatafuta njia ya kumaliza matatizo yote kwenye maisha yako rafiki yangu, unajidanganya, haipo njia hiyo, wala hakuna mwenye uwezo huo. Mwisho wa matatizo yako yote ni pale utakapokufa. Kadiri unavyokuwa hai, matatizo hayatakosekana. (more…)
