1942; Jinsi Ya Kuepuka Mabishano…
Kubishana ni jambo la hovyo sana unaloweza kufanya kwenye maisha yako. Kwa sababu linakupotezea nguvu na muda na hakuna manufaa yoyote unayoyapata kwenye kubishana. Hata kama utashinda ubishani, hutakuwa umemshinda uliyebishana naye, maana atazidi kusimamia upande wake. Hivyo basi, unapaswa kuepuka mabishano kwa namna yoyote ile uwezavyo kwa sababu hayatakunufaisha. (more…)
