1851; Tafuta Ukweli, Usijali Umetoka Kwa Nani…
Zig Zigler kwenye moja ya mafundisho yake amewahi kutoa mfano huu; iwapo adui yako mkubwa ataweka asali kwenye kikombe chako cha chai, je nini kitatolea kwako? Na je vipi kama rafiki yako mkubwa, kwa bahati mbaya akaweka sumu kwenye kikombe chako cha chai, nini kitatokea? Kwa adui aliyeweka asali kwenye (more…)
