1813; Kila Mtu Anapambana Na Hali Yake…
Pambana na hali yako ni usemi ambao ni rahisi sana kuwaambia watu wengine, lakini huwa hatupo tayari kujiambia sisi wenyewe. Huwa tunafikiri hali zetu ni za kipekee sana hivyo lazima kila mtu ahusike nazo. Na hapo ndipo tunapojidanganya, kwa sababu kila mtu tayari anapambana na hali yake, na hakuna anayepoteza (more…)
