1818; Kilicho Mbele Yako Sasa…
Kilicho mbele yako sasa ndiyo kitu muhimu kuliko vyote kwenye maisha yako. Ukiweza kuweka umakini wako wote kwenye hicho kilicho mbele yako sasa, utaweza kufanya makubwa sana. Tatizo watu wengi wamekuwa wakipotezwa kwa kuruhusu umakini wao kuhama kutoka pale walipo sasa. Wengi huruhusu umakini wao kwenda kwenye wakati uliopita, kwenye (more…)
