1787; Msimamo Na Ung’ang’anizi Ndiyo Nguvu Kuu…

By | November 22, 2019

Tone moja la maji halina madhara yoyote kwenye kitu chochote kile. Lakini tone hilo moja linapojirudia kwa muda mrefu kwenye eneo moja, lina nguvu kubwa ya kuleta mabadiliko makubwa. Tone hilo likijirudia kwa muda mrefu kwenye eneo moja linaweza kuvunja mwamba mkubwa na mgumu. Hivyo pia ndivyo ilivyo kwa nguvu (more…)

#TAFAKARI YA LEO; UTAUMIA KAMA HUTARAJII…

By | November 22, 2019

“Fortune falls heavily on those for whom she’s unexpected. The one always on the lookout easily endures.” —SENECA, ON CONSOLATION TO HELVIA, 5.3 Ni siku nyingine mpya, siku bora na ya kipekee sana kwetu. Tumeipata nafasi hii nzuri sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. (more…)

1785; Kwa Mara Ya Kwanza…

By | November 20, 2019

Watu wote wanaojaribu kitu mara moja kisha wanaacha kwa sababu hawajapata matokeo waliyotegemea kupata wamekuwa wanajidanganya. Anza na wewe mwenyewe, je umewahi kununua kitu baada ya kukutana nacho kwa mara ya kwanza? Umewahi kumwamini mtu kwa mara ya kwanza anakuambia kitu? Majibu ni hapana, inakuchukua muda mpaka umwamini na kumwelewa (more…)

#TAFAKARI YA LEO; HAKUNA KIPYA KINACHOTOKEA…

By | November 20, 2019

“If you’ve seen the present, you’ve seen all things, from time immemorial into all of eternity. For everything that happens is related and the same.” —MARCUS AURELIUS, MEDITATIONS, 6.37 Tushukuru na kufurahi kwa kuiona siku hii mpya. Ni nafasi bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili (more…)

1784; Matendo Na Hisia…

By | November 19, 2019

Watoto na wanyama wanafanana kwa kitu kimoja, huwa wanachukua hatua kutokana na hisia ambazo wanazo kwa wakati huo. Ndiyo maana tunaweza kuwatega na kuwakamata wanyama. Pia ndiyo maana ni rahisi kuwalaghai watoto. Lakini watu wazima wanaofikiri kwa usahihi, huwa wanatenda na kisha kutengeneza hisia kutokana na matendo yao. Hawaanzi na (more…)