1618; Tatizo Siyo Kusema Ukweli, Tatizo Ni Unayempa Ukweli Huo…

By | June 6, 2019

Katika kusimamia ukweli, kuna vitu viwili ambavyo unapaswa kuvizingatia. Kitu cha kwanza ni ukweli unaopaswa kusemwa au kusimamiwa. Hapa lazima mtu aujue ukweli kwa hakika, na siyo kwa kukisia au kwa hisia. Kitu cha pili ni yule ambaye anapaswa kuambiwa ukweli, lazima awe tayari kupokea ukweli huo na kuufanyia kazi. (more…)

1617; Tatizo Siyo Muda, Tatizo Ni Unafanya Nini Na Muda Ulionao…

By | June 5, 2019

Muda unazidi kuwa changamoto kwa wengi, mambo ya kufanya ni mengi na muda wa kufanya mambo hayo ni mchache. Hili limekuwa likileta msongo kwa wengi, ambao wanakazana kufanya kila wanachotaka kufanya, lakini wanashindwa kutokana na muda kutokutosha. Wengi wanabaki kulaumu muda na kujiambia kama wangepata muda wa kutosha basi wangeweza (more…)

1616; Hatua Ya Kwanza Ya Kutatua Tatizo Lolote Unalokutana Nalo…

By | June 4, 2019

Hakuna mtu ambaye hakutani na matatizo kwenye maisha yake. Matatizo ni sehemu ya maisha ya kila mmoja wetu. Lakini wengi wanapoingia kwenye matatizo, huwa wanahamaki na kushindwa kujua wanatokaje kwenye matatizo hayo. Na hata wanapojaribu kuchukua hatua fulani, wanajikuta wakitengeneza matatizo makubwa zaidi. Hii ni kwa sababu wengi huwa wanakimbilia (more…)

#TAFAKARI YA LEO; NDIYO SABABU YA WEWE KUWA HAPA DUNIANI…

By | June 4, 2019

“Why then are we offended? Why do we complain? This is what we’re here for.” —SENECA, ON PROVIDENCE, 5.7b–8 Hongera sana wanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Kwa msingi (more…)

1615; Unachokichukia Unakipa Nguvu, Njia Sahihi Ni Kupuuza…

By | June 3, 2019

Chuki ni moja ya hisia zenye nguvu kubwa sana kwetu wanadamu. Hisia za chuki huwa zina nguvu kubwa kwa anayekuwa nazo, lakini pia zinampa nguvu yule ambaye hisia hizo zimeelekezwa kwake. Watu waliogundua nguvu hii ya chuki, wameweza kuitumia vizuri kuwa maarufu na kuwatumia wengine kupiga hatua zaidi. Angalia wasanii (more…)

1614; Huu Ndiyo Unafiki Mkubwa Wa Watu Waliofanikiwa…

By | June 2, 2019

Siri ya kwanza ya mafanikio ni wewe kuwapenda wale waliofanikiwa. Huwezi kuwa tajiri kama unawachukia matajiri, kwa sababu akili yako itakuepusha na kila fursa ya kukufikisha kwenye utajiri, kwa sababu imani yako ni kwamba utajiri ni mbaya. Hivyo tunapaswa kuwapenda sana watu waliofanikiwa, na kusikiliza ushauri wao, kwa sababu wana (more…)

#TAFAKARI YA LEO; MTAZAMO SAHIHI WA KUONDOA HOFU ZINAZOKUKABILI..

By | June 2, 2019

“How beautifully Plato put it. Whenever you want to talk about people, it’s best to take a bird’s-eye view and see everything all at once—of gatherings, armies, farms, weddings and divorces, births and deaths, noisy courtrooms or silent spaces, every foreign people, holidays, memorials, markets—all blended together and arranged in (more…)