1613; Mbio Za Kuelekea Kwenye Kushindwa…

By | June 1, 2019

Watu wengi wamedanganywa na kukubali kwamba ushindani ni kitu kizuri kwenye biashara na hata maisha kwa ujumla. Kwamba kadiri kunavyokuwa na watu wengi wanavyofanya kitu kinachofanana, ndivyo huduma zinakuwa bora na bei zinakuwa nzuri pia. Hiyo ni kweli, lakini pale ambapo wewe ni mteja au mtumiaji wa huduma ambazo zinatolewa (more…)

#TAFAKARI YA LEO; SIMAMIA KUSUDI LA AKILI YAKO…

By | June 1, 2019

“Indeed, no one can thwart the purposes of your mind—for they can’t be touched by fire, steel, tyranny, slander, or anything.” —MARCUS AURELIUS, MEDITATIONS, 8.41 Ni siku nyingine mpya, siku nzuri na ya kipekee sana kwetu. Tumeipata nafasi bora kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. (more…)

1612; Safari Ya Mafanikio Ni Safari Ya Imani Na Kujidanganya Pia…

By | May 31, 2019

Safari ya mafanikio ni safari ngumu sana kwa wengi kwa sababu inahitaji imani zaidi na kujidanganya pia. Kwa kuwa wengi hawajiamini wao wenyewe, safari hii inakuwa ngumu kwao. Na pia kwa kuwa wengi hawapo tayari kujidanganya (kwa nia nzuri) basi wanashindwa kabisa kupiga hatua. Aliyekuwa bondia bora kabisa duniani Mohamad (more…)

#TAFAKARI YA LEO; JUKUMU LAKO KUU KWENYE MAISHA…

By | May 31, 2019

“What is your vocation? To be a good person.” —MARCUS AURELIUS, MEDITATIONS, 11.5 Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri ya leo. Ni siku mpya na ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Kwa msingi wetu wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA pamoja (more…)

1611; Kuwa Tayari Kuwaumiza Baadhi Ya Watu…

By | May 30, 2019

Unapochagua kuyaishi maisha yako, unapochagua kufanya kile ambacho ni muhimu zaidi kwako na kupuuza vitu vingine, kuna watu ambao utawaumiza. Kama haupo tayari kuona wengine wakiumia kwa maisha uliyochagua, nafasi yako ya kufanikiwa ni ndogo au haipo kabisa. Kama unataka kila mtu akubaliane na wewe au apende kile unachofanya, huwezi (more…)

1610; Tahajudi Kwenye Kila Kitu…

By | May 29, 2019

Watu wengi wamekuwa wanasema wanapenda kufanya tahajudi, lakini wanaona hawana muda wa kukaa na kutulia kufanya tahajudi. Mtu mmoja amewahi kusema kama huwezi kutenga dakika kumi za kufanya tahajudi, basi unapaswa kujilazimisha kutenga dakika 20. Kwa sababu kama huwezi kupata dakika kumi basi maana yake maisha yako yamevurugwa sana kiasi (more…)

1609; Kipimo Sahihi Cha Kuweka Vizuri Vipaumbele Vyako…

By | May 28, 2019

Kila mtu hana muda, mambo mengi muda mchache ni kauli ambayo kila mtu anakiri inaendana na hali yake. Lakini katika muda huo huo ambao wote tunao kwa usawa kila siku, kuna ambao wanafanya makubwa na kupiga hatua, wakati wapo ambao wanaona muda ukiyoyoma na wasione wamefanya nini. Watu wengi huanza (more…)

#TAFAKARI YA LEO; VITU VIWILI VYA KUZINGATIA KABLA HUJACHUKUA HATUA YOYOTE…

By | May 28, 2019

“The first thing to do—don’t get worked up. For everything happens according to the nature of all things, and in a short time you’ll be nobody and nowhere, even as the great emperors Hadrian and Augustus are now. The next thing to do—consider carefully the task at hand for what (more…)