1578; Nani Aliyeweka Hizo Sheria…

By | April 27, 2019

Kila sheria unayofuata kwenye maisha yako inapunguza uhuru wako. Hivyo kama unafuata kila sheria unayowekewa na wengine, huwezi kuwa huru na maisha yako. Jamii zina sheria nyingi sana, sheria ambazo hazina hata mantiki yeyote. Swali muhimu kujiuliza kabla hujafuata sheria yoyote unayowekewa ni watu gani walioweka hizo sheria? Je sheria (more…)

1577; Ukipunguza Utabiri Utajipunguzia Matatizo…

By | April 26, 2019

Ubongo wetu unapenda sana uhakika, wa mambo tuliyonayo sasa na hata yatakayotokea baadaye. Na hapa ndipo huwa tunapenda kutabiri mambo yatakayotokea baadaye. Kwa utabiri huu, tunajipa uhakika sasa, lakini tunajiweka kwenye nafasi ya kuumia zaidi baadaye. Kwa sababu wote tunajua ya kwamba hakuna utabiri wowote wenye uhakika wa asilimia 100. (more…)

1576; Unachouza Wewe Ni Furaha, Sahau Vingine Vyote…

By | April 25, 2019

Hitaji kuu la kila mtu ni furaha, hili ni hitaji la ndani kabisa la kila binadamu. Kila tunachofanya tunasukumwa na vitu viwili, kupata kile tunachotaka, ambacho ni furaha au kuepuka tusichotaka ambacho ni maumivu. Hakuna mtu mwenye akili timamu, anayefanya jambo la kumuumiza yeye mwenyewe kwa makusudi. Hata pale watu (more…)

1575; Sababu Tatu Sahihi Za Kutokuwa Tajiri…

By | April 24, 2019

Inapokuja kwenye utajiri, wengi huwa na sababu nyingi kwa nini hawajaweza kuufikia utajiri. Wengi husema wamejaribu sana lakini siyo bahati yao. Wengine hutoa lawama kwa wazazi kwa kutowapa misingi sahihi au elimu bora. Wengine hulaumu uongozi na hata mazingira au hali ya hewa kuwarudisha nyuma. Na wapo ambao husingizia majukumu (more…)

1574; Huhitaji Mtu Wa Kukukumbusha Hili, Na Kama Hulijui Huwezi Kufanikiwa…

By | April 23, 2019

Unapojitoa kwa ajili ya mafanikio, unapochagua kuondoka kwenye maisha ya kawaida na kwenda kwenye maisha ya mafanikio, ya kufanya makubwa na kupiga hatua zaidi, watajitokeza watu wengi ambao watakupa ushauri, ambao kwao wanaamini ni ushauri muhimu sana. Lakini sehemu kubwa ya ushauri ambao watakupa ni kukuonesha jinsi gani mambo yatakuwa (more…)

#TAFAKARI YA LEO; AKILI YAKO NDIYO KITU PEKEE UNACHOMILIKI KWA ASILIMIA 100…

By | April 23, 2019

“You have been formed of three parts—body, breath, and mind. Of these, the first two are yours insofar as they are only in your care. The third alone is truly yours.” —MARCUS AURELIUS, MEDITATIONS, 12.3 Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi bora na (more…)