1573; Jiwe Halipotezi Chochote Kwa Kwenda Juu Na Kurudi Chini…
Ukirusha jiwe juu, baada ya muda litarudi chini. Jiwe hili limeweza kwenda juu sana na baadaye kurudi chini. Je unafikiri kuna tofauti yoyote kati ya jiwe lililokuwa juu na lililorudi chini? Hakuna, ni jiwe lile lile. Hivi ndivyo tunavyopaswa kujichukulia sisi wenyewe tunapokuwa juu na tunapokuwa chini. Maisha yetu yanabadilika, (more…)
