1518; Kazi Yako Ni Wewe…
Pamekuwa na juhudi kubwa kwa wengi kujitofautisha na kazi zao, kwamba wao ni wao na kazi zao ni kazi. Mafunzo mengi yamekuwa yanatolewa ya jinsi ya mtu kujitenganisha na kazi yake, ili kupata mlinganyo mzuri wa kazi na maisha. Katika juhudi hizi za kujitofautisha na kazi, imepelekea wengi kuchukulia kazi (more…)
