1513; Magumu Unayopitia Ni Darasa, Unachohitaji Ni Kufaulu…
Mtu mmoja amewahi kusema kama maisha ni vita basi hakuna anayetoka akiwa hai. Akiwa na maana kwamba mwisho wa siku wote tutakufa, hivyo tunachopaswa kufanya ni kupambana kwenye kile ambacho tunapitia. Kila mtu anapitia magumu kwenye maisha yake, hakuna ambaye maisha yake yamenyooka na anapata kila anachotaka kwa wakati anaotaka. (more…)
