1478; Hakuna Atakayekulipa Kwa Unachojua…
Huwa tunachanganya sana ujuzi na kipato, ndiyo maana wengi wanaoongeza elimu zaidi wakitegemea kipato chao kiwe kikubwa zaidi huishia kukata tamaa pale kipato chao kinaposhindwa kuongezeka, au kuongezeka kwa kiwango kidogo sana. Kuongeza elimu au ujuzi hakukufanyi wewe ulipwe zaidi, kunakuongezea sifa tu. Kinachokufanya wewe ulipwe zaidi ni pale unapofanya (more…)
