#TAFAKARI YA LEO; UKIWA VIZURI UNAKUWA NA USHAURI MZURI…

By | March 10, 2018

When we are well, we all have good advice for those who are ill. – Lucius Annaeus Seneca Hongera mwanamafanikio kwa siku hii nzuri na ya kipekee kwetu. Ni nafasi nzuri ya kwenda kuweka juhudi kubwa kwa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tutaweza kupata matokeo bora sana. Kwa mwongozo wa (more…)

UKURASA WA 1164; Kuungana Na Wengine, Kutengana Na Wewe Mwenyewe…

By | March 9, 2018

Upo usemi ambao umekuwa unatumika kama utani kwamba simu ina nguvu ya kuwaleta karibu walio mbali, na kuwaweka mbali walio karibu. Yaani mtu anapokuwa na simu anaweza kuwasiliana na yeyote, lakini watu wawili walio na simu wanapokuwa pamoja, kila mtu anakuwa kwenye simu yake. Sasa kauli hii inakwenda ndani zaidi. (more…)

UKURASA WA 1163; Nini Kitatokea Kama Utapotea Ghafla…

By | March 8, 2018

Mara ghafla kesho biashara yako haipo tena, huwezi tena kutoa kile ambacho umekuwa unatoa kwa wateja wako. Nini kitatokea kwa wateja wako ambao ulikuwa unawahudumia? Ghafla tu huwezi tena kufanya kazi yako, huwezi kwenda kutoa ile huduma ambayo umekuwa unatoa, nini kitatokea kwa mwajiri wako na hata wale wanaotegemea huduma (more…)

UKURASA WA 1162; Uzuri Utapingwa, Lakini Yafaa Kuupigania…

By | March 7, 2018

Utu ni kufanya kile ambacho ni kizuri kwako na kwa wengine pia. Japo hili siyo jambo rahisi kufanya, hata kama inaonekana ni rahisi kiasi gani. Ni kawaida kwa binadamu kupiga uzuri, kupinga kile ambacho mtu unajitoa kufanya kwa ubora wa hali ya juu. Pamoja na kupingwa huko kwa uzuri, kuacha (more…)

UKURASA WA 1161; Chagua Nafsi Moja Itakayokutawala…

By | March 6, 2018

Wanasayansi wanaanza kukubaliana na kitu ambacho viongozi wa kiroho na wanafalsafa wamekuwa wakisema tangu enzi na enzi. Kwamba upo uwezekano kwamba mtu kama mtu siyo nafsi moja. Yaani kuna uwezekano ndani yako zipo nafsi nyingi. Na ubaya ni kwamba, nafsi hizi hazikubaliani kwenye jambo lolote kwa wakati mmoja, labda mpaka (more…)

UKURASA WA 1160; Watu, Mazingira, Mtazamo Na Kesho Yako…

By | March 5, 2018

Kila kitu unachokutana nacho kwenye maisha yako, kinachangia namna ambavyo maisha yako yanakwenda. Hata kama unaona ni kitu kidogo kiasi gani, hakuna kisichokuwa na madhara kwako. Kwa mfano kila mtu yupo pale alipo sasa, kutokana na hatua alizochukua au kutokuchukua huko siku za nyuma. Na atakapokuwa mtu kesho, ni matokeo (more…)

#TAFAKARI YA LEO; WAKATI UNAAHIRISHA, MAISHA YANAKUPITA…

By | March 5, 2018

While we are postponing, life speeds by. – Lucius Annaeus Seneca Hongera mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi bora na ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Msingi wetu wa maisha ya mafanikio ni NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo (more…)