#TAFAKARI YA LEO; ELIMU BILA YA UWEZO WA ASILI…

By | March 15, 2018

Natural ability without education has more often raised a man to glory and virtue than education without natural ability. – Marcus Aurelius Habari za asubuhi ya leo mwanamafanikio? Hongera kwa nafasi hii nyingine nzuri ya leo. Ni siki ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa kwa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA (more…)

UKURASA WA 1169; Nini Kinaangusha Embe Mtini?

By | March 14, 2018

Embe likiiva kwenye mti, huwa linaanguka chini. Lakini je ni nini kinasababisha embe hilo kuanguka kutoka kwenye mti? Je ni kwa sababu dunia ina nguvu ya mvutano ambayo inafanya embe kuanguka chini? Kama ndivyo kwa nini halikuanguka wakati likiwa halijaiva? Je ni kwa sababu kikonyo kinachoshikilia embe hilo kinakuwa kimechoka? (more…)

UKURASA WA 1168; Unaidhibiti Siku Au Siku Inakudhibiti?

By | March 13, 2018

Unaianza siku kwa mipango yako au mipango inajitokeza ndani ya siku na unaifanyia kazi? Kila siku unaianza kwa ajenda zako binafsi au unapokea ajenda za wengine na kuzifanyia kazi? Unadhibiti muda wako wa siku au muda unaenda tu na hujui unapotelea wapi? Tunapanga makubwa, tunakuwa na ndoto na maono makubwa (more…)

#TAFAKARI YA LEO; CHANGAMOTO ZINAJENGA BUSARA…

By | March 13, 2018

We become wiser by adversity; prosperity destroys our appreciation of the right. – Lucius Annaeus Seneca Hongera mwanamafanikio kwa nafasi hii nyingine nzuri ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Kwa msingi wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA pamoja na mwongozo (more…)

UKURASA WA 1167; Unachopenda Na Usichopenda…

By | March 12, 2018

Sisi binadamu tuna tabia ya upendeleo, kuanzia kwenye fikra zetu mpaka kwenye matendo yako. Huwa tunapendelea yale ambayo tunayapenda, na kubagua yale tusiyoyapenda. Kwa mfano, wengi huamini kile wanachopenda wao ndiyo sahihi na kila mtu anapaswa kukipenda. Hivyo hata kama kuna makosa ya wazi kwenye kile ambacho mtu anapenda, mapenzi (more…)

#TAFAKARI YA LEO; UKIJICHEKA HAKUNA ATAKAYEKUCHEKA…

By | March 12, 2018

No one is laughable who laughs at himself. – Lucius Annaeus Seneca Hongera mwanamafanikio kwa nafasi hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni fursa ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Kwa msingi wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA na mwongozo wa TATUA, AMUA NA (more…)

UKURASA WA 1166; Je Unaijua Nishati Ya Hamasa Yako?

By | March 11, 2018

Kila mtu ana nishati ambayo inachochea hamasa yake, kitu ambacho kinampa ari ya kuendelea zaidi hata kama mambo yanaonekana kuwa magumu. Hatua ya kwanza kwako ni kujua nishati ya hamasa yako, ili uweze kuitumia kila wakati, hasa pale unapotaka kukata tamaa au kuahirisha kile ambacho umepanga kufanya. Ukishaijua nishati ya (more…)

#TAFAKARI YA LEO; UKIACHA KUFUATILIA YA WATU UTAPATA MUDA WA KUTOSHA…

By | March 11, 2018

How much time he saves who does not look to see what his neighbor says or does or thinks. – Marcus Aurelius Ni asubuhi nyingine nzuri kwetu, siku mpya kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Kwa msingi wetu wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA tunakwenda kufanya (more…)

UKURASA WA 1165; Kufanya Kitu Ambacho Hakijawahi Kufanywa Kabisa…

By | March 10, 2018

Mtu anaposema hajaingia kwenye biashara kwa sababu hajui biashara gani afanye, huwa napata wakati mgumu sana kuelewa. Kwamba huyu mtu anaishi kwenye jamii ambayo hakuna biashara yoyote inayofanyika? Au anaishi kwenye jamii ambayo watu hawana shida wala mahitaji yoyote? Ukichunguza kwa ndani watu hao wapo kwenye jamii yenye kila aina (more…)