UKURASA WA 1159; Maamuzi Ya Kutokufanya…
Mara kwa mara watu hukumbwa na msongo wa mawazo kwenye maisha yao. Na msongo huu hutokana na mambo mbalimbali ambayo watu wamekuwa wanapitia. Lakini kubwa kabisa ni pale mtu anapokuwa anapanga kufanya mambo, ila hayafanyi. Anabaki na mipango ambayo kila akiifikiria anapata msongo wa mawazo. Wakati mwingine mtu anakuwa amewaahidi (more…)
