#TAFAKARI YA LEO; KUBALI KUONEKANA MJINGA…
If you want to improve, be content to be thought foolish and stupid. – Epictetus Hongera rafiki kwa nafasi hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni fursa nzuri kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Msingi wetu wa maisha ya mafanikio ni NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA (more…)
