UKURASA WA 1122; Njia Ya Mkato Ndiyo Njia Ndefu…
Kama kuna mahali unataka kuwahi, na kuna njia ambayo ni ndefu na nyingine ya mkato, kama umewahi kupita njia hiyo ya mkato siku za nyuma, basi unaweza kuipita na ukawahi kufika. Kama hujawahi kupita njia hiyo, huwa unasikia tu ipo njia ya mkato, usiipite siku ambayo unataka kuwahi, kwa sababu (more…)
