#TAFAKARI YA LEO; TIBA YA UHAKIKA YA HASIRA….
The greatest remedy for anger is delay. – Lucius Annaeus Seneca Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Siku hii bora na ya kipekee kabisa kwetu, tunakwenda kuweka juhudi kubwa ili tuweze kupata matokeo bora sana. Msingi wetu wa maisha ya mafanikio ni NIDHAMU, UADILIFU NA (more…)
