#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Ubongo Wa Kulia Na Ubongo Wa Kushoto.

By | November 16, 2017

KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 134 – 143. Ubongo wa binadamu umegawanyika kwenye sehemu mbili, ubongo wa kulia na ubongo wa kushoto. Ubongo wa kulia unahusika zaidi na mambo ya ubunifu na sanaa. Ubongo wa kushoto unahusika zaidi na fikra na taratibu (more…)

UKURASA WA 1051; Njia Bora Ya Kupata Kile Unachotaka Kutoka Kwa Wengine…

By | November 16, 2017

Binadamu tunategemeana sana, tupo kwa ajili ya wengine na wengine wapo kwa ajili yetu. Hatuwezi kufanikiwa peke yetu, tunahitaji msaada na michango ya watu wengine pia. Sasa hapa kwenye utegemezi wa wengine, ndipo wengi tunapopata changamoto, kwa sababu tunashindwa kupata kile ambacho tunataka kutoka kwa wengine. Inawezekana kuna mtu ungependa (more…)

#TAFAKARI YA LEO; UNAJITESA ZAIDI YA UNAVYOTESWA…

By | November 16, 2017

We are more often frightened than hurt; and we suffer more from imagination than from reality. – Lucius Annaeus Seneca Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Nafasi hii ya kipekee tuliyoipata leo, tunapaswa kuitumia vyema ili tuweze kupata matokeo bora sana. Msingi wetu wa maisha (more…)

UKURASA WA 1050; Gharama Kubwa Ya Mafanikio Inayowashinda Wengi Ni Hii…

By | November 15, 2017

Mafanikio ni kitu ambacho kila mtu anakitafuta, kila mtu anapenda kupiga hatua zaidi kutoka pale alipo sasa na kufika mbali zaidi. Japo wengi hufikiria mafanikio kwa upande wa fedha na mali pekee, watu wanakazana kuhakikisha wanapiga hatua zaidi. Pamoja na juhudi kubwa ambazo watu wanaweka, ambazo pia ni gharama ya (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Sayansi Na Sanaa Zinategemeana.

By | November 14, 2017

KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 124 – 133. Watu wengi wamekuwa wakishindwa kuelewa iwapo Leonardo da Vinci alikuwa mwanasayansi aliyejihusisha na sanaa au msanii aliyejihusisha na sayansi. Hii ni kwa sababu alikuwa vizuri sana maeneo yote mawili. Alikuwa vizuri kwenye sanaa na (more…)

UKURASA WA 1049; Ubaya Unasambaa Kuliko Uzuri…

By | November 14, 2017

Kila siku kuna magari mengi yanafanya safari zake na yanafika salama. Hutasikia yakitangazwa kama magari kadhaa yalifanya safari leo na kufika salama. Lakini ikitokea gari moja limepata ajali, basi kila mtu atajua, itatangazwa na kusambazwa mno. Hili ni gari moja kati ya maelfu ya magari yaliyofanya safari siku hiyo. Ukifanya (more…)

#TAFAKARI YA LEO; USIWEKE MATUMAINI YAKO SEHEMU MOJA…

By | November 14, 2017

Neither should a ship rely on one small anchor, nor should life rest on a single hope. – Epictetus Habari za asubuhi ya leo mwanamafanikio? Tumepata nafasi nyingine nzuri leo ya kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Msingi wetu wa maisha ya mafanikio ni NIDHAMU, UADILIFU (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Mawazo Mazuri Yanakuja Ukiwa Umepumzika….

By | November 13, 2017

KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 114 – 123. Moja ya vitu vilivyomwezesha Leornado kuwa na umaarufu mkubwa ni mawazo bora kabisa aliyokuwa anakuja nayo. Mengi yalikuwa ni mawazo ambayo alikuwa akiyapata akiwa amepumzika au akiwa anafanya kitu ambacho hakimchoshi au kuumiza akili. (more…)