UKURASA WA 1048; Fikiri, Kuwa, Zalisha…
Watu wengi wanaotaka kubadili maisha yao na wafanikiwe huwa wanashindwa, kila hatua wanazochukua hawapati matokeo ambayo walikuwa wanatarajia. Mwishowe wanaona kama wao hawawezi na hivyo kukata tamaa. Kinachowasababisha washindwe kupata matokeo wanayotaka, ni kwa sababu mabadiliko wanayoyafanya kwenye maisha yao siyo sahihi. Wengi wamekuwa wanajaribu kubadili nje wakati ndani kupo (more…)
