#TAFAKARI YA LEO; MAISHA YANAKUACHA NYUMA…

By | November 6, 2017

While we are postponing, life speeds by. – Lucius Annaeus Seneca Habari za asubuhi ya leo mwanamafanikio? Hongera kwa mwaka mpya wa mafanikio 2017/2018. Tuna nafasi bora sana kwetu ya kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Msingi wetu wa maisha ya mafanikio ni NIDHAMU, UADILIFU NA (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Nguvu Ya Udadisi Katika Kujifunza.

By | November 5, 2017

KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 47 – 56. Kitu kikubwa ambacho kilimwezesha Leonardo da Vinci kufanya makubwa kwenye maisha yake ni udadisi. Tangu akiwa mdogo alikuwa akihoji mambo mbalimbali. Kila alichokiona alihoji na kutaka kujua zaidi. Hilo lilimpelekea yeye kujifunza na kusoma (more…)

UKURASA WA 1040; Vitu Vitatu Vinavyopima Ubora Wa Maisha…

By | November 5, 2017

Maisha bora ni kitu ambacho kila mtu anaweza kuwa na maana yake. Lakini maana nyingi haziendani na ule ubora wa maisha, ambao yeyote akiangalia anasema haya maisha ni bora. Wengi wakisikia maisha bora basi cha kwanza kuangalia ni mali na fedha. Masikini na wale ambao ndiyo wanatafuta mali na fedha, (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KUBALI KUONEKANA MJINGA….

By | November 5, 2017

If you want to improve, be content to be thought foolish and stupid. – Epictetus Habari za asubuhi ya leo mwanamafanikio? Hongera kwa nafasi hii ya kipekee sana ya leo. Nafasi ambayo wapo ambao wangelipa mamilioni ya fedha ili waione na waitumie, lakini hawajapata nafasi hii. Lakini wewe umeipata, swali (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Maisha ya Leonardo da Vinci.

By | November 4, 2017

KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 37 – 46. Maisha ya Leonardo da Vinci yalikuwa maisha ya tofauti kabisa. Kwanza alizaliwa nje ya ndoa kitu ambacho hakikuwa kinakubalika katika kipindi chake. Hivyo ilibidi alelewe na babu yake na siyo baba yake. Hii ilimnyima (more…)

UKURASA WA 1039; Uadui Ni Rahisi, Urafiki Ni Mgumu…

By | November 4, 2017

Kila mtu anaweza kuwa adui mzuri tu kwa mtu yeyote. Na ninaposema adui mzuri, simaanishi adui ambaye ana roho nzuri, bali namaanisha adui hasa. Lakini ni wachache sana ambao wanaweza kuwa marafiki wazuri kwa wengine. Hii ni kwa sababu uadui hauhitaji kazi, ni mtu tu aamue kumpinga au kugombana na (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Uamsho wa zamani na uamsho wa sasa…

By | November 3, 2017

KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 27 – 36. Kabla ya karne ya 14, dunia ilikuwa imedumaa. Hakuna maendeleo au mabadiliko makubwa yaliyokuwa yakitokea. Mambo yalikuwa ni yale yale, vita vya ukabila na udini. Watu hawakuwa na uhuru wa kufikiri watakavyo. Badala yake (more…)

UKURASA WA 1038; Upande Wa Pili Wa Shilingi…

By | November 3, 2017

Kama ilivyo kwamba shilingi ina pande mbili, ndivyo kila kitu kwenye maisha kilivyo. Kuna pande mbili za kila kitu tunachofanya au kupitia kwenye maisha. Na wakati mwingine pande hizo zinaweza kuwa zaidi ya mbili. Ni tabia yetu sisi binadamu kuangalia au kuegemea upande mmoja pekee. Tunapenda kuangalia ule upande ambao (more…)

#TAFAKARI YA LEO; HAKUNA ANAYEKUUMIZA, UNAJIUMIZA….

By | November 3, 2017

Reject your sense of injury and the injury itself disappears. – Marcus Aurelius NI siku nyingine nzuri sana rafiki yangu, siku mpya ya sisi kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Msingi wetu wa maisha ya mafanikio, ambao unatuwezesha kuwa na maisha bora ni NIDHAMU, UADILIFU NA (more…)