UKURASA WA 1016; Fursa Yako Haipo Kwenye Kazi Au Biashara Fulani, Bali Ipo Hapa…
Neno fursa limewapoteza watu wengi kuliko ambao limewasaidia. Hii ni kwa sababu watu wamekuwa wanakimbizana na vitu vingi wakifikiri ndiyo fursa zao. Kabla hawajapata kile walichokuwa wanakimbiza, inajitokeza nyingine ambayo inaonekana kuwa fursa nzuri zaidi. Wanaacha walichokuwa wanafanya na kuanza kukimbiza fursa hiyo mpya. Nimekuwa nakueleza sana kuhusu hizi fursa (more…)
