💥 #TAFAKARI YA LEO; VITU VIDOGO VISIPODHIBITIWA…
Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo mazuri. Ni kwa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA tunaweza kufanya mambo makubwa aana. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu vitu vidogo visivyodhibitiwa. Mambo yote makubwa huwa yanaanza madogo, (more…)
