UKURASA WA 775; Mabadiliko Ya Haraka Yanashindwa Haraka…
Pale mtu anapopata ufahamu, anapotoka kwenye giza la kukosa maarifa, hupenda kufanya mabadiliko ya haraka sana. Mtu anapojua kwamba alikuwa haweki akiba, na hivyo kuchagua kuweka akiba, hutaka kuweka akiba kubwa kwa kuanza. Au pale mtu anapogundua kwamba alikuwa hafanyi mazoezi na mazoezi ni muhimu kwake, hupanga kuanza mazoezi makubwa (more…)
