UKURASA WA 727; Siri Kuu Ya Uongozi…
Ili uweze kufanikiwa kwenye maisha yako, unahitaji kuwa kiongozi bora. Unahitaji kuweza kujiongoza wewe mwenyewe na hata kuwaongoza wengine pia. Watu wengi wanaposikia uongozi moja kwa moja hupeleka mawazo yao kwenye nafasi za kisiasa, au vyeo kwenye kazi na nafasi nyingine za kijamii, lakini hiyo siyo maana halisi ya uongozi. (more…)
