UKURASA WA 700; Usifanye Chochote…
Mwandishi Elbert Hubbard amewahi kunukuliwa akisema kama hutaki kukosolewa, usiseme chochote, usifanye chochote na usiwe chochote. Hii ina maana kwamba kwa chochote utakachofanya, wapo watu watakaokukosoa, hata kama ni kitu kizuri kiasi gani. Kwa chochote utakachosema, wapo watu watakaokukosoa haijalishi umesema nini. Na vyovyote utakavyochagua maisha yako yawe, wapo watakaokukosoa. (more…)
