💥 #TAFAKARI YA LEO; DENIAL…
Hongera rafiki yangu kwa asubuhi nzuri ya leo. Tumepata tena nafasi bora ya kwenda kuweka juhudi kubwa kwenye kile tukichochagua kufanya. Rafiki yangu, kaitumia nafasi ya leo vizuri ili uweze kufanya makubwa. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu DENIAL, au KUKATAA UHALISIA… Kuna wakati ambapo tunaouona uhalisia kama ulivyo, ila kwa (more…)
