Njia Ya Kupambana Na Maisha Magumu.
(more…)
(more…)
Hofu imekuw akikwazo cha watu wengi sana kufikia mafanikio makubw akwneye maisha yao. Unajua kabisa hutaki kubaki hapo ulipo, unajua unataka uanze biashara, unajua unataka uanze kuweka ubora kwenye kile ambacho unafanya ili uweze kupata mafanikio makubwa. Unaweka malengo na mipango ya kukuwezesha kufika kule unakotaka kufika naunajua kila hatua (more…)
Katika wakati wowote na popote ulipo ni lazima uweze kuielezea biashara unaofanya kwa sentensi moja. Ni lazima ndani ya dakika moja uweze kumweleza ni biashara ya aina gani unayofanya na inaelekea wapi, au ina mahitaji gani. Ukishindwa kufanya hivi basi hua biashara. Huna biashara kwa sababu huijui biashara yako vizuri (more…)
(more…)
Leo naomba niongee na wasomaji wa KISIMA CHA MAARIFA ambao bado wapo kwenye ajira ila haziwaridhishi na wanataka kuingia kwenye biashara au ujasiriamali. Kwanza nikupongeze sana kama wewe ni mmoja wa watu hawa ambao wanaona kazi pekee haitawawezesha kufikia yale mafanikio makubwa waliyopanga kufikia. Pamoja na ajira kutokuweza kukufikiahsa katika (more…)
Kuna watu wengi sana ambao wanaamini maisha yao yalivurugwa na maamuzi ambayo wazazi wao waliyafanya siku za nyuma wakati wao bado ni wadogo. Watu hawa wamekua wakiishi na imani hii kwa muda mrefu na inazidi kuwazuia wao kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha yao. Kabla hata sijaweka maelezo mengi hapa, naomba (more…)
Leo kaa chini na ujiulize na kupata jibu la swali lifuatalo; Kama biashara yako isingekuwepo, je watu wanaokuzunguka wangekuwa katika hali gani? Je dunia ingekuwa kwenye hali gani? Kama jibu ni hakuna tofauti kati ya kuwepo au kutokuwepo kwa biashara yako, basi huna biashara, yaani upo tu unasukuma siku. SOMA; (more…)
Kuna wakati unaweza kuona kama watu wengine wanakunyanyasa au kukushambulia kutokana na hali uliyonayo au kitu unachofanya. Katika hali kama hii unachukua hatua gani? Unalalamika kwa nini watu wakushambulie wewe? Unajiona kama ni mtu mwenye bahati mbaya kutokana na hali ulizo nazo ambazo zinawafanya wengine wakunyanyase na kukushambulia? Kama hiki (more…)
(more…)
Kama kuna maji ya makampuni matatu sokoni na maji ya kampuni moja yakawa yanauzwa kwa bei rahisi kuliko ya makampuni mengine, wateja watanunua yapi? Haihitaji elimu kubwa kujua kwamba watanunua yale maji yanayouzwa kwa bei rahisi. Wateja wengi watanunua maji hayo. Hii ni kwa sababu maji hayatofautiani sana, maji ni (more…)