UKURASA WA 138; Nguvu Haipo Nje, Nguvu Unayo Ndani Yako…

By | May 18, 2015

Kila mtu anapenda kuwa bora zaidi ya alivyokuwa siku zlizopita. Kila mtu anapend akufikia mafanikio makubwa kuliko aliyonayo sasa. Lakini mbona bado watu wengi wanahangaika bila ya kupata mafanikio wanayotarajia? Kwa nini watu wanashindwa kuongeza juhudi kwenye kazi au biashara wanazofanya ili kuweza kufikia mafanikio makubwa? Kuna sababu moja kubwa (more…)

Changamoto ya kuendesha biashara wakati bado umeajiriwa.

By | May 18, 2015

Ni hali iliyowazi kwamba maisha yanakuwa magumu kadiri siku zinavyokwenda. Na gharama za maisha zinaongezeka huku vipato vya Ajira vikibaki pale pale au kuongezeka kidogo sana. Hali hii imewafanya waajiriwa wengi kujiingiza kwenye ujasiriamali. Hivyo licha ya kipato cha ajira wanapata kipato kingine cha ziada kupitia ujasiriamali wanaofanya. Waajiriwa wanakuwa (more…)

UKURASA WA 137; Njia Rahisi Ya Kutengeneza Matatizo Makubwa Kwenye Maisha Yako.

By | May 17, 2015

Njia rahis ya wewe kutengeneza matatizo makubwa sana kwenye maisha yako ni kuepuka mambo, kukataa majukumu na kupingana na ukweli. Hiki ni kitu ambacho umekuwa unafanya kila mara kabla hujaingia kwenye matatizo makubwa. Kama unakataa, kaa chini leo na angalia kwenye kila tatizo kubwa ulilowahi kukutana nalo kwneye maisha kama (more…)

BIASHARA LEO; Kinachokufanya Ushindwe Kutekeleza Mipango Yako.

By | May 16, 2015

Kila mfanyabiashara anayo malengo na mipango yake kwenye biashara anayofanya. Lakini ni wachache sana ambao wanaweza kufikia mipango yako na kuvuna matunda mazuri. Wafanyabiashara wengi huwa na mipango mizuri ila unapofika wakati wa utekelezaji ndio ugumu unaopoonekana. Hapa ndipo mtu anaona kama haiwezekani na kuamua kurudi nyume na kuendele akufanya (more…)

UKURASA WA 136; Unataka Kubaki Hapo Ulipo Au Unataka Kwenda Mbele?

By | May 16, 2015

Unataka kubaki hapoo ulipo au unataka kwenda mbele? Swali rahisi sana na najua kila mtu jibu lake ni NDIO nataka kwenda mbele zaidi. Lakini tatizo sio kutaka kwenda mbele, tatizo ni kujua kipi kitakufikisha mbele, utawezaje kwenda mbele zaidi ya ulipo sasa?Na hata baada ya kujua kwmaba utakwendaje mbele, je (more…)

BIASHARA LEO; Bila Kudhulumu Watu Huwezi Kufanikiwa Kwenye Biashara…. UONGO.

By | May 15, 2015

Changamoto nyingi sana tunazokutana nazo kwenye biashara zinaanza na sisi wenyewe. Yaani wewe mwenyewe ndio chanzo kikubwa cha matatizo unayokutana nayo kwenye biashara yako. Japo huwezi kukubali hili ila nasikitika kukutaarifu hivyo. Biashara zinaposhindwa watu wanakuwa na sababu nyingi sana, uchumi mbaya, wateja hakuna, washindani ni wengi na kila aina (more…)