NENO LA LEO; Mambo Mawili Muhimu Sana Kujua Kuhusu Maisha.

By | November 6, 2014

Life can either be accepted or changed. If it is notaccepted, it must be changed. If it cannot be changed, then it must be accepted. Maisha yanaweza kukubaliwa au yanaweza kubadilishwa. Kama hayakubaliwi ni lazima yabadilishwe. Kama hayawezi kubadilishwa ni lazima yakubaliwe. Usiendelee tena kuteseka na maisha yako, kama kuna (more…)

AUDIO BOOK; Brian Tracy – 21 Absolutely Unbreakable Laws of Money

By | November 5, 2014

Kitabu hiki cha Brian Tracy kimeelezea sheria 21 za fedha ambazo unatakiwa kuzifuata ili kuweza kufikia uhuru wa fedha na mafanikio makubwa. Kisikilize ili kujifunza zaidi. Naomba maoni hapo chini kama kuna tatizo lolote katika kusikiliza kitabu hiki. Nakutakia kila la kheri katika safari ya kufikia mafanikio makubwa. TUPO PAMOJA (more…)

Mazoezi Ya Kujijengea Kujiamini.

By | November 4, 2014

Karibu mpenzi msomaji kwenye kipengele cha kujenga tabia za mafanikio na mwezi wa kumi na wa kumi na moja tunajenga tabia ya kujiamini. Kama tulivyoona kwenye makala zilizopita, kijiamini ni kiungo muhimu sana cha kuweza kufikia mafanikio makubwa. Pia tuliona njia mbalimbali za kujijengea tabia ya kujiamini. Leo tutajadili mazoezi (more…)

Tukemee Tabia Hii Mbaya Kama Taifa.

By | November 3, 2014

Jana tarehe 02/11/2014 kulikuwa na mdahalo wa katiba ulioandaliwa na taasisi ya Mwalimu Nyerere uliokuwa unafanyika katika ukumbi wa ukumbi wa ubungo plaza. Katika mdahalo huo waliokuwa wajumbe wa iliyokuwa tume ya katiba walialikwa kuzungumza na baadae wananchi waliohudhuria nao wangepata nafasi ya kuzungumzia katiba pendekezwa. Lengo kubwa la mdahalo (more…)

Aina tatu za wateja na jinsi ya kufanya nao biashara.

By | November 3, 2014

M afanikio kwenye ujasiriamali yatatokana na kiasi cha mauzo unachofanya. Na kisi cha mauzo yako kinatokana na jinsi unavyowajua wateja wako na kuweza kufanya nao biashara vizuri. Wajasiriamali na wafanya bishara wengi wanafikiri wateja wote ni sawa na hivyo kujaribu kufanya nao biashara kwa mtindo mmoja. Hali hii imekuwa ikileta (more…)

LEO KATIKA HISTORIA; TAREHE 03/11/2014

By | November 3, 2014

November 3 1493Christopher Columbus arrives at the Caribbee Isles (Dominica) during his second expedition. 1507Leonardo da Vinci is commissioned to paint Lisa Gherardini (“Mona Lisa”). 1529The first parliament for five years opens in England and the Commons put forward bills against abuses amongst the clergy and in the church courts. (more…)