Sifa Moja Muhimu Ambayo Kila Kiongozi Mkubwa Anayo.

By | March 16, 2014

Kwenye makala zilizopita tuliona ni muhimu kwa kila mmoja wetu kuwa kiongozi kwenye maisha yake na shughuli anazofanya. Pia tuliona kwamba kila mmoja wetu anaweza kuwa kiongozi kama ataamua, iwe kwa kuendeleza sifa za uongozi zilizopo ndani yake au kwa kujifunza sifa za uongozi. Leo tutaangalia sifa moja muhimu ambayo (more…)

Mahitaji Matano Ya Msingi ya Kila Binadamu.

By | March 13, 2014

Ili kufanikiwa kwenye biashara, kazi na hata maisha kwa ujumla ni muhimu kujua tabia za asili za binadamu. Kuna vitu ambavyo watu wanavipenda sana kutoka ndani yao, kwa kujua vitu hivi ni rahisi kufanya nao kazi au biashara. Pia kuna vitu ambavyo watu hawavipendi, kwa kuvijua na kuviepuka itakusaidia kujenga (more…)

Misingi Mitano Muhimu Ya Biashara.

By | March 11, 2014

Katika ulimwengu wa sasa ambao ajira zimekuwa ngumu na shida kupatikana, biashara imekuwa ndio kimbilio la wengi. Watu wengi wanaingia kwenye biashara kama njia kuu ya kujipatia kipato. Pamoja na biashara kuonekana kuwa kimbilio la wengi sio wote wanaoingia kwenye biashara wanafanikiwa. Tafiti zinaonesha kwamba asilimia tisini ya biashara zinazoanzishwa (more…)

Kiongozi Anazaliwa au Anatengenezwa? Jibu Hili Hapa.

By | March 9, 2014

Kumekuwa na mjadala au mabishano kwa muda mrefu ikiwa kiongozi anazaliwa au anatengenezwa. Wapo wengi ambao wanaamini watu wenye sifa za uongozi wanazaliwa nazo na haziwezi kutengenezwa. Wapo wengine wanaoamini viongozi wanatengenezwa kutokana na jamii wanayoishi na elimu wanayopata. Nani yupo sahihi hapa? Je wewe una maoni gani juu ya (more…)

Ni Muhimu Sana Wewe Kuwa Kiongozi.

By | March 2, 2014

  Katika safari ya malengo yangu ya kuwa rais wa Tanzania ifikapo mwaka 2040 moja ya maandalizi makubwa ni kujenga sifa za uongozi ndani yangu. Katika kujenga sifa kwangu mimi namkaribisha yeyote anayetaka kujenga sifa za uongozi ndani yake tuwe pamoja kwenye safari hii. Nani anatakiwa kuwa kiongozi? Dunia ya (more…)

Program Tatu Muhimu Ambazo Kila Blogger Anatakiwa Kuwa Nazo

By | February 24, 2014

  Kama blogger unaweza kuwa na kazi nyingi sana na ukashindwa kujua ni jinsi gani ya kuweza kuzirahisisha. Unaweza kuwa unahitaji kutafuta au kuandika habari, unahitaji kupost na pia unahitaji kutafuta wasomaji wa habari zako.  Kama hutokuwa na vitu vya kukurahisishia kazi unaweza kuwa unachoka sana na kushindwa kufikia malengo (more…)

Lengo Langu Kubwa Kwenye Maisha; Kuwa Rais wa Tanzania.

By | February 23, 2014

  Leo nakushirikisha lengo kubwa sana kwenye maisha yangu. Lengo hilo ni kuwa rais wa nchi yangu Tanzania. Kama ilivyo kwenye kuweka lengo lolote kuna hatua muhimu za kufuata ili kuweza kufikia lengo unaloweka.   Katika lengo langu mimi ninachotaka ni kuwa rais wa nchi yangu Tanzania.   Kwa nini (more…)

JINSI YA KUFUNGUA BLOG KWENYE BLOGGER; HATUA KWA HATUA

By | February 21, 2014

Mpaka sasa tayari unayo google account, kama huna soma hapa ujue jinsi ya kuitengeneza(tengeneza google account)1. Nenda kwenye address ya blogger kwa kutumia www.blogger.com2. Nenda sehemu ya sign in kisha weka username na password3. Kisha ingia4. Utakuja ukurasa unaofanana na hii pichaUtahitajika kudhibitisha wasifu wako5. Utaletewa wasifu wa aina mbili (more…)