UKURASA WA 953; Unachokichukia, Unakipa Nguvu Ya Kuendelea Kukusumbua…

By | August 10, 2017
Moja ya kitu kinachowarudisha watu wengi nyuma ni chuki. Chuki kwa watu au vitu ni jambo linalowarudisha wengi  nyuma kwa sababu ukikichukia kitu unakuwa umefungwa nacho. Kwa mfano tuseme unamchukia mtu fulani ambaye alikufanyia mambo mabaya, hii ina maana kwamba, ili chuki yako ifanye kazi, lazima kila wakati uwe unamkumbuka

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In