THINK AND GROW RICH; Hatua Ya Pili Ya Kuelekea Kwenye Utajiri, IMANI – 1

By | January 22, 2015
Imani ndio kiungo kikuu cha akili. Pale imani inapochanganywa na mawazo yenye hamasa, akili inachukua mawazo hayo na kuyafanyia kazi. Kwa njia hii inakuwezesha wewe kufikia kile unachotaka. Hisia za IMANI, UPENDO na MAPENZI ni hisia zenye nguvu kubwa sana kwa binadamu. Hisia hizo tatu zinapochanganywa pamoja, zinamwezesha mtu kuweza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: THINK AND GROW RICH

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz