UKURASA WA 34; Jali Mambo Yako.

By | February 3, 2015
Katika wakati wowote ule na popote ulipo kuna mambo mengi sana yanayoendelea. Kama utataka kujali kila kitu utashindwa kufikia mafanikio makubwa. Kama utataka kujua kila kitu kinachoendelea, nani kafanya nini, utakuwa unajali mabo mengine na mambo ya watu wengine na kujinyima muda wa kufuatilia mambo yako. Kumbuka tulivyosema kwenye kuweka

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In