NENO LA LEO; Kama Hufanyi Makosa Hii Ndio Maana Yake.

By | February 22, 2015
If you’re not making mistakes, then you’re not doing anything. -John Wooden Kama hufanyi makosa maana yake hufanyi chochote. SOMA; Fikra TANO Zinazoua Mafanikio Na Jinsi Ya Kuziepuka. Katika jambo lolote ambalo utafanya, huwezi kukwepa kufanya makosa. Hasa pale ambapo unafanya mambo mapya, makosa huwa makubwa sana. Hivyo usiogope pale

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In