UKURASA WA 53; Hakuna Kinachodumu Milele…

By | February 22, 2015
Moja ya siri kubwa unayopaswa kuijua ili kupata uhuru kwenye maisha ni kwamba hakuna kinachodumu milele. Kama vile ambavyo sisi binadamu hatutadumu milele, siku moja utafikia mwisho, utakufa. Ndivyo ilivyo kwa kila kitu kwenye maisha, kuna wakati kitafika mwisho. SOMA; Hiki Ndio Kitakachotokea Miaka 100 Ijayo.. Matatizo uliyonayo hayatadumu milele,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In