UKURASA WA 247; Unayemtafuta Naye Anakutafuta.

By | September 4, 2015
Asilimia 99.99 ya wasomaji wa makala ninazoandika ni watu ambao hatukujuana hapo awali. Sasa nikuulize wewe, ulijuaje hii mitandao ambapo ndipo naandika makala za kufundisha? Kwa sehemu kubwa sana ni kwamba ulikuwa unatafuta mafunzo haya, ulikuwa unatafuta sehemu ambapo unaweza kujifunza na kuwa bora zaidi ya ulivyokuwa kwa wakati huo.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In