Mbinu bora za kupata wafanyakazi sahihi wa biashara yako.

By | November 9, 2015
Ili biashara yako iweze kukua na kukuletea mafanikio makubwa, unahitaji watu makini sana wa kukusaidia kwenye biashara yako. na ili uweze kupata watu hawa makini ni lazima wewe mwenyewe uwe makini kwenye kuajiri. Wafanyabiashara wengi wamekuwa na malengo mazuri sana na biashara zao na wamekuwa wakijitoa sana ili biashara zao

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: BIASHARA NA UJASIRIAMALI

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz