UKURASA WA 362; Dunia Inakuhujumu, Na Hatua Za Wewe Kuchukua.

By | December 28, 2015
Ndiyo, dunia inakuhujumu. Na mambo mengi yanayofanyika hapa duniani, sio kwa faida yako, hasa ya muda mrefu. Fikiri kila unapopita kuna biashara nyingi sana, na zote zinakusisitiza wewe ununue. Wanatumia kila mbinu kukushawishi ununue, bila ya kujali kama unachonunua ni muhimu kwako au la. Simu uliyoibeba, nayo imejaa vitu vingi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In