UKURASA WA 416; Sio Vyote Vitaenda Kama Utakavyo.

By | February 20, 2016
Lengo la kuweka malengo siyo uyafikie yote kwa asilimia 100. Lengo la kuweka mipango ya siku siyo kuikamilisha kwa silimia 100. Japo kuna wakati unaweza kufikia vyote kwa asilimia 100, lakini sio mara zote unaweza kufikia hivyo. Siyo vitu vyote vitaenda kama unavyotaka wewe. Sio kila kitu kitatokea kama ulivyotegemea.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz