UKURASA WA 536; Nje Na Ndani…

By | June 21, 2016
Mambo yanapoharibika, au yanapokwenda kinyume na matarajio yetu, huwa tunakimbilia kuangalia ni nini kimesababisha. Na kwa haraka sana huwa tunatafuta ni kitu gani cha nje ambacho kimechangia mambo kwenda tofauti na matarajio yetu. Biashara inapopata hasara, au inaposhindwa kuleta faida uliyotarajia kupata, mawazo yako yote yanakwenda kwenye kitu cha nje

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In