UKURASA WA 610; Uhusiano Wako Na Fedha…

By | September 1, 2016
Kila kitu kwenye maisha yetu kinaendeshwa na mahusiano. Kuna mahusiano yetu na wengine, mahusiano yetu na sisi wenyewe, pia mahusiano yetu na mafanikio. Pale ambapo mahusiano ni mazuri, ushirikiano unakuwa mkubwa na mafanikio ni dhahiri. Lakini mahusiano yanapokuwa mabovu, ushirikiano unakosekana na inakuwa vigumu kufanikiwa. Leo tuangalie mahusiano yetu na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz