BIASHARA LEO; Biashara Yako Ina Pumzi?

By | June 22, 2017
Kitu kinachoongoza kuua biashara nyingi ni fedha. Pale mzunguko wa fedha unapoanza kusua sua, biashara inaanza kuyumba na hatimaye kufa. Ndiyo maana nimekuwa nasema, mzunguko wa fedha kwenye biashara ni sawa na mzunguko wa damu kwenye mwili wa mtu. Ni vitu muhimu sana kwenye uhai wa mtu. Lakini kuna kitu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In