BIASHARA LEO; Usikimbilie Kufanya Vitu Rahisi, Vitakupoteza Kibiashara…

By | June 28, 2017
Biashara ni ngumu, hilo halina ubishi, lakini ugumu mwingine tumekuwa tunautengeneza sisi wenyewe. Hasa pale ambapo tunakuwa tunatafuta njia rahisi ya kufanikiwa kwenye biashara. Kwa kuwa kufikiri ni kazi ngumu, na kwa kuwa njia bora za kuifanikisha biashara yako kutakuhitaji ufikiri, watu wanakwepa hilo. Na badala yake wanaangalia kipi rahisi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In