BIASHARA LEO; Faida Siyo Kusudi La Biashara…

By | July 19, 2017
Kuna watu huwa wanaingia kwenye biashara kwa kusudi la kutengeneza faida, kupata fedha za kuendesha maisha yao, ni kitu kizuri, maisha lazima yaende na fedha ni muhimu. Lakini umuhimu wake unaenda mpaka pale mtu anapoondoka kwenye hofu ya kukosa fedha, na hapo ndipo mtu anaona kuna kitu anakosa kwenye maisha

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In