BIASHARA LEO; Usiogope Kuwasumbua Wateja…

By | September 11, 2017
Wafanyabiashara wengi wamekuwa wanatumia sababu za ajabu sana kuendesha biashara zao kwa uzembe. Moja ya sababu hizo ni kuogopa kuwasumbua wateja. Wapo wafanyabiashara ambao wamekuwa wanapoteza wateja kwenye biashara zao, kwa sababu wanaogopa kuwasumbua. Labda ni kumkumbusha mteja kuja tena kwenye biashara, wengi huona wakifanya hivyo mteja ataona ni kama

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In