BIASHARA LEO; Kila Msaidizi Wako Kwenye Biashara Anapaswa Kujibu Swali Hili Kwa Ufasaha…

By | October 18, 2017
Kumekuwa na changamoto kubwa kwenye kupata wasaidizi wa biashara wenye uwezo mzuri wa kufanya kazi kwenye biashara. Uaminifu na kujituma ni vitu ambavyo vinakosekana kwa wengi tunaowapata watusaidie kwenye biashara zetu. Pamoja na changamoto kuwa kwenye tabia za watu, lakini sisi wamiliki wa biashara pia tuna mchango katika hilo. Kuna

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In