UKURASA WA 1252; Matajiri Wa Kweli Hawafilisiki….

By | June 5, 2018
Kuna watu ambao huwa wanapata utajiri mkubwa, halafu wanafanya makosa fulani kwenye maisha yao, kisha wanapoteza kila kitu walichokuwa nacho, na kurudi sifuri kabisa. Kinachotokea baada ya kupoteza kila kitu ndiyo kinatuambia kama mtu alikuwa tajiri wa kweli au alikutana na utajiri kwa bahati. Tuanze na mfano, kuna mtu ambaye

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In