1653; Jinsi Watu Wengi Wanavyochagua Kuwa Watumwa Kwenye Maisha…

By | July 11, 2019
Mafanikio ya kweli kwenye maisha ni pale mtu unapokuwa huru kabisa na maisha yako. Pale ambapo wewe ndiye mwamuzi mkuu na wa mwisho wa maisha yako. Pale ambapo hakuna chochote kinachoweza kutokea nje yako na kikavuruga chochote kile ndani yako. Hayo ndiyo mafanikio ya kweli, yanayotokana na uhuru wa kweli

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In